RITA Mfumo wa Huduma za Ndoa na Talaka

Filed in MAKALA, HABARI by on July 17, 2024 0 Comments

RITA Mfumo wa Huduma za Ndoa na Talaka

RITA Mfumo wa Huduma za Ndoa na Talaka,Nakala ya cheti cha ndoa,Jinsi ya kupata cheti cha ndoa cha serikali,Mfano wa hati ya talaka, Cheti cha ndoa ya kikristo, Www rita go tz ndoa online.

RITA Mfumo wa Huduma za Ndoa na Talaka

RITA Mfumo wa Huduma za Ndoa na Talaka,Nakala ya cheti cha ndoa,
Jinsi ya kupata cheti cha ndoa cha serikali,Mfano wa hati ya talaka, Cheti cha ndoa ya kikristo, Www rita go tz ndoa online.

Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) unapenda kuufahamisha Umma kwamba sasa unaweza kutuma maombi ya kupata huduma zifuatazo kwa njia ya Kidigitali (Online).
HUDUMA ZA NDOA NA TALAKA
Huduma zinazopatikana kidigitali:
  • 1. Maombi ya leseni ya kufungisha ndoa
  • 2. Maombi ya Shahada ya kufungisha ndoa
  • 3. Kupata kibali cha kufunga ndoa ndani ya siku 7
  • 4. Kupata cheti cha kutokuwa na kipingamizi cha ndoa
  • 5. Kusajili ndoa inayodumu iliyokuwa haijasajiliwa
  • 6. Kibali cha kufunga ndoa mahali maalum
  • 7. Kusajili Ndoa
  • 8. Kusajili ndoa iliyofungwa nje ya nchi
  • 9. Kusajili Talaka
  • 10. Kusajili Talaka iliyotolewa nje ya nchi

Sifa za Habari50.com Habari50.com ni blog maarufu ya habari inayojulikana kwa kutoa taarifa za uhakika na kwa wakati kuhusu matukio mbalimbali nchini Tanzania na kwingineko. Blog hii inajitahidi kuwaletea wasomaji wake habari moto moto na za kina kuhusu masuala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, na michezo. Kwa taarifa zaidi kuhusu ajali hii na habari zingine za kitaifa na kimataifa, tembelea Habari50.com na ujipatie habari za kuaminika na za kina.

Tunatoa pole kwa familia ya marehemu Jumwema Charles na kuwatakia ahueni ya haraka wale wote waliojeruhiwa katika ajali hii mbaya. Polisi wanaendelea na uchunguzi wa kina ili kubaini chanzo kamili cha ajali hii na kuhakikisha hatua stahiki zinachukuliwa ili kuepusha ajali kama hizi kutokea

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *